Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Happy new year my friend Kijana wa hovyo hovyo
Bro Extrovert
Kiranja Mkuu mr Mshana Jr
Cha mideko Depal
Mdada mpole Heaven Sent
Mzee wa busara Shimba Ya Buyenze
Rafiki Karma cocastic mawardat mahondaw geraldincredible reymage Tinsley
Mama mchungaji Saint Anne na wengine wengi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Pochi kama pochi au kama kipochiView attachment 2064621
Jirani mwenye pochi
Acha tu mzee baba 😅 kuna pisi hii ulimwengu ni laana😅Pochi kama pochi au kama kipochi
Naona mwaka umeanza vyema yaani barabara kabisaAcha tu mzee baba 😅 kuna pisi hii ulimwengu ni laana😅
Mbona nyingi hivyo? Au ndio unabadili flavour tofauti!Nainywa/nazinywa
Naomba unifahamishe japo moja, nina mpango wa kwenda ndani ya mwaka mpya!Yeahh...zipo za 40k....
Wewe bana,mie napenda Miranda ndio ulevi wanguMbona nyingi hivyo? Au ndio unabadili flavour tofauti!
Akhsante sana na kwako pia mpendwaHeri ya mwaka mpya Eli! !!
Warumi 8 Na 9
Nafurahi kusikia Yu mzima wa afya!Hu bukheri wa afya .. Ningempa simu muongee lakini anaongea na mamaake
AminaAkhsante sana na kwako pia mpendwa
Heri ya mwaka mpya kwako kipenzi,mama la mama Karucee
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu wangu Satoh HiroshHappy new year my friend Kijana wa hovyo hovyo
Bro Extrovert
Kiranja Mkuu mr Mshana Jr
Cha mideko Depal
Mdada mpole Heaven Sent
Mzee wa busara Shimba Ya Buyenze
Rafiki Karma cocastic mawardat mahondaw geraldincredible reymage Tinsley
Mama mchungaji Saint Anne na wengine wengi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mama Mchungaji. Mpaka watu wanashukiwa ndotoni jamani. Hebu fanya uselfike puliziHeaven Sent wallahi leo kwa mara ya kwanza nimekuota umetuma picha humu! Yaani ile nimeamka tu nimekuja mbio selfika nikidhani Roho Mtakatifu amenionesha usingizini ili niwahi kuja kuona picha yako nisipitwe!
Najua unaweza hisi utani ila niko serious kabisa Mungu shahidi yangu siwezi msingizia kwenye hili! Tena nimeota umetupia full umevaa gauni jekundu hujajiziba na emoji ila tu uso umeangalia nyuma so haukuonekana vizuri!