Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Haha nimetuma umeiona???sindikiza tu na selfie ya kufunga mwaka
Haha nimetuma umeiona???sindikiza tu na selfie ya kufunga mwaka
hujatuma rafikiHaha nimetuma umeiona???
hujatuma rafiki
sijaiona..rafiki..tuma tenaNimetuma mbona! Hujaiona kwani??
Hii picha imegoma kufunguka katika mkweche wangu wa simu. Unaweza kunitumia moja kwa moja kwenye PM yangu Boss Lady. PM iko wazi. Naomba sanaAsante Mkuu nawe pia Heri ya mwaka mpya wewe na familia yako!!!
Nilitaka nikusindikize na selfie ya kufungia mwakahata siioni haha!
View attachment 2064402

Hii picha imegoma kufunguka katika mkweche wangu wa simu. Unaweza kunitumia moja kwa moja kwenye PM yangu Boss Lady. PM iko wazi. Naomba sana![]()
Naomba sana Boss LadyHahahaaa...hio ndio hio hapo chini niloirudia ..ya kuwish new year! Nikatuma Og ya bosi lady mwenyewe mlikua kwingine huko imekaa hadi imejifuta!

Hio ilogoma nishairudia chini yake mkuu!Naomba sana Boss Lady![]()
Mtu na lips zake....Hio hapo niliituma. Mwite Nahuyo mzee mtu chake ilikaa weeee hamjaja ikajidelete si unaona View attachment 2064420
Asante Boss ladyHio hapo niliituma. Mwite Nahuyo mzee mtu chake ilikaa weeee hamjaja ikajidelete si unaona View attachment 2064420


Shimba Ya Buyenze mtu chake hamjaja nafuta tenaHio hapo niliituma. Mwite Nahuyo mzee mtu chake ilikaa weeee hamjaja ikajidelete si unaona View attachment 2064420
Haha. You too rafiki. mwanzo nilituma og yake! HahaMtu na lips zake....
Apy neu yea



Na kwako pia mpendwa!🙏Mwaka Mpya Mwema Wapendwa. Mungu Atulinde na kutuongoza kwa mwaka huu mpya unaoanza. Tuliokosana tukasameheane na kuanza upya. Pia tukumbuke kuwasaidia masikini, wajane, wagonjwa na wote wenye uhitaji. Hiyo ndiyo dini ya kweli.
Kwa wahenga wenzangu; Mungu Azidi kutuimarisha na kutupa afya njema.
Blessings
View attachment 2064424
Asante dokta wa madokta nakwako pia. Kheri ya mwaka mpya 2022 ikawe nawe na familia yako pia. AmenMaombolezo 3:22
[22]Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.WISHING YOU ALL
HAPPY NEW YEAR 2022