Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
hahahaha..bila bila kivipi Rafiki ?Wee mzee tuma selfie ya kumaliza 2021 jamani mwaka unaisha bila bila kweli?![]()
hahahaha..bila bila kivipi Rafiki ?Wee mzee tuma selfie ya kumaliza 2021 jamani mwaka unaisha bila bila kweli?![]()
Yani Umegoma kabisa kuselfika!hahahaha..bila bila kivipi Rafiki ?
Hahahaha...na uzee huu ? ni selfike? .subiri ifike 11:58 natupia chapYani Umegoma kabisa kuselfika!
Jipige tu hata mwenyewe! Wee piga hata mkono tu! Inatoshahahaha...eti eeeh ..umenikumbusha..ngoja niite mpiga fotoo
Wee uzee mwisho chalinze! Basi tupia hata mguu basi 🙄!Hahahaha...na uzee huu ? ni selfike? .subiri ifike 11:58 natupia chap
Jipige tu hata mwenyewe! Wee piga hata mkono tu! Inatosha
hahaha..ngoja nifanye hivyo
hahaha...kule kwetu .tunasemaga 'chunga mbele ' yaani subiri kdgWee uzee mwisho chalinze! Basi tupia hata mguu basi 🙄!
hahahaha...rafiki kwani we mutoto? sikudanganyiDanganya toto 🙄!
Haah hio subiri tangu mwezi uleeeee hadi leo jamani! !!hahaha...kule kwetu .tunasemaga 'chunga mbele ' yaani subiri kdg
Si ndo nakushangaa unavonifanya kama mtoto vile! Nimesubiiiiriiii mpaka mwaka unaisha kha!hahahaha...rafiki kwani we mutoto? sikudanganyi
mmmh....mwaka bado haujaisha rafikiSi ndo nakushangaa unavonifanya kama mtoto vile! Nimesubiiiiriiii mpaka mwaka unaisha kha!
Hahahaaa..wee haya tu rafiki!😌mmmh....mwaka bado haujaisha rafiki
subira humvuta heriHaah hio subiri tangu mwezi uleeeee hadi leo jamani! !!
Mhmmhmm!!! Hio heri mbona inachelewa ivo! Haya nalala kidogo niamshe 23:50 rafiki!subira humvuta heri
hahaha...pumzika..utaamshwa usijari rafikiMhmmhmm!!! Hio heri mbona inachelewa ivo! Haya nalala kidogo niamshe 23:50 rafiki!
Happy New Year Boss LadyJipige tu hata mwenyewe! Wee piga hata mkono tu! Inatosha
Asante Mkuu nawe pia Heri ya mwaka mpya wewe na familia yako!!!Happy New Year Boss Lady
Thanks mkuu nawe piaHappy New Year Boss Lady
sindikiza tu na selfie ya kufunga mwakaAsante Mkuu nawe pia Heri ya mwaka mpya wewe na familia yako!!!
Nilitaka nikusindikize na selfie ya kufungia mwakahata siioni haha!
View attachment 2064402