Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alileta uzima wa bure
Na wokovu wake ni wa bure.
Yeye ni Bwana
Mungu mwaminifu
Ahadi zake ni za milele
Umtumaini yeye pekee
Umkimbilie Bwana Yesu
Yeye ni jibu la mambo yote.


Heri kuwa na Bwana Yesu
Yeue ndiye jibu la maisha

Ann Annie
 

Attachments

Screenshot_20211229-232952.jpg
 
Miamba ya muziki wa Kongo enzi zetu ndiyo inaishia ishia sasa. Kuanzia Luambo, Tabu Rey, Madilu, Papa Wemba, Aurlus Mabele, Defao...kabakia Papa Mobimba Koffi angalau anazidi kulisongesha. Na sijui kama akina Diblo Dibala, Dalii Kimoko, Ngouma Lokitto na wengineo bado wana nguvu za kucharaza magitaa yao...End of an era for sure. Yaani gitaa linapigwa mpaka unalisikia kabisa hili hapa yaani...
Wameondoka wengi sana akina Josky, Simaro etc etc
 
Back
Top Bottom