Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna muda inabidi tu utabasamu hata kama umegubikwa na machozi ya kila aina... 2021 haukuwa mwaka mzuri kwangu... Naendelea kuwaombea wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki!!View attachment 2064046
Pole sana mpendwa yote mapenzi ya Mungu.
Nimefurahi sana kukuona leo mkuu!✌️✌️✌️imekaa poa sana.
 
Ohoo yaani mwanaume akose mtoto ndani ya ndoa awe na furaha kabisa? Ukiona ana furaha ujue tayari kashafanya yake huko nje!

Mwanaume tu yeyote akikosa mtoto ndani ya ndoa lazima azae nje sembuse ambaye ni dereva wa lori? Na hata akiwa na watoto ndani ya ndoa na ndoa yake ikawa na furaha lazima tu atachepuka na atazaa nje yaani wake zao inabidi wajikaze tu kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…