Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23]
Kuna jirani yetu mmoja ni dereva wa hayo magari,ana mke wake na hawajabahatika kupata mtoto tangu tumewajua 2012.
Jamaa yuko happy tu kwake na haonyeshi kunyongo chochote ila hakaliki kwake.
Si ajabu ana michepuko huko nje na ana watoto wengi tu.
Natamani niwe jirani yako

Nithibitishe uyasemayo[emoji1787]
 
20211231_165905.jpg
 
Back
Top Bottom