Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
🤓😉You are welcome
I like your style.... "work hard play hard"👍
Nilikuwa natupia sana humu, lakini watu kimya,
Haya hii hapa, ...
Namfundisha dogo kucheza kikapu lakini sijui hata mikono kaiweka wapi...yuko bize...
View attachment 2063191
Umetisha sana....japo it's not a slam dunk 🏀
Alafu ukute dogo ni mtu wa soccer we unamchosha na kikapu chako ndo maana hana time na wewe 🤓🥴

Chalii ya Agano jipya



