Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huko ni kukomoana sasa...sisi ambao zikitushinda huwa tunabeba itakuwaje sasa[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka ushindwe ila sio ubebe chupa nzima😅ati ukafungulie kwenu huo ni uhujumu bata...

Hukawilii kuchukulia point 3 mzinga wetu ukajidai zawadi ya new year kwa msela kumbe umevusha bottle ya wajuba😅
 
Kuza Cave...
20211230_173915.jpg
20211230_173723.jpg
20211230_172521.jpg
20211230_172822.jpg
 
Mpaka ushindwe ila sio ubebe chupa nzima[emoji28]ati ukafungulie kwenu huo ni uhujumu bata...

Hukawilii kuchukulia point 3 mzinga wetu ukajidai zawadi ya new year kwa msela kumbe umevusha bottle ya wajuba[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjuba mwenyewe anaweza kushtuka akiona ule Mzinga.. Labda ile ndogo[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi hapo dada [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kuna mtu ameniita mahali mdogo wangu nikamwambia nikutume..hataki..anataka twende wote..
Nimemwambia kabisa huna shughuli ndogo.. atawezana? Akasema angetupiga Hennessy za kutosha..nimemwambia Karma mambo yake anachanganya[emoji23][emoji23]Hiyo Hennessy kwake ni soda[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom