Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🥳
IMG_20211228_120928_420.jpg
 
Mtumishi hii mashine inatumika kufanyia nini
Huoni hayo mavitu yamechongoka chongoka. Ndiko huko wanapachika masindano yao chokonozi halafu wanaanza kukuchokonoa meno na fizi (eti wanakusafisha ) ukitoka hapo huna hamu yaani. Ila nashukuru Mungu sina cavities wala nini pamoja na kukata miaka miwili bila kwenda kupambana nao. Ni kuswaki vizuri na kufloss mara kwa mara tu ndiyo njia nzuri ya kuzuia kuchokonolewa sana na hawa jamaa. Kuziba cavity tu unashomwa ganzi kwenye fizi dah
 





R.I.P General Defao
Miamba ya muziki wa Kongo enzi zetu ndiyo inaishia ishia sasa. Kuanzia Luambo, Tabu Rey, Madilu, Papa Wemba, Aurlus Mabele, Defao...kabakia Papa Mobimba Koffi angalau anazidi kulisongesha. Na sijui kama akina Diblo Dibala, Dalii Kimoko, Ngouma Lokitto na wengineo bado wana nguvu za kucharaza magitaa yao...End of an era for sure. Yaani gitaa linapigwa mpaka unalisikia kabisa hili hapa yaani...
 
Miamba ya muziki wa Kongo enzi zetu inaishia ishia sasa. Kuanzia Luambo, Tabu Rey, Madilu, Papa Wemba, Aurlus Mabele, Defao...kabakia Papa Mobimba Koffi angalau anazidi kulisongesha. Na sijui kama akina Diblo Dibala, Dalii Kimoko, Ngouma Lokitto na wengineo bado wana nguvu za kucharaza magitaa yao...End of an era for sure. Yaani gitaa linapigwa mpaka unalisikia kabisa hili hapa yaani...
Umemaliza kila kitu mkuu....miamba ya muziki inaishia...miziki ya sasa kelele nyingi inavuma kwa muda mfupi...ila ukisikiliza famile kikuta, koza ni nyimbo zinazoishi miaka na miaka
 
Back
Top Bottom