BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,628
- 19,810
Fika Buhongwa kamsalimie mama BushNdiwoo
Fika Buhongwa kamsalimie mama BushNdiwoo
Pole sana dear

Nipo hapa Lamadi barabarani kabisa. Wakati wa kurudi pita angalau kwa nusu saa tu nikubebeshe sato waliokaushwa uende nao ChugaNdiwoo

Wimbo mzuri sana MtumishiFrom January to December nimejua ulinilinda
Ni wewe
Tangu mawio machweo ulinipa huu mwangaza
Ni wewe
Nyakati za huzuni, furaha, zote unanipa amani
Milimani, mabondeni, kote unakuwa nami.
Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha pale ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Sina mwingine
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe.
Ujazae bodo langu mishale, vitani ni wewe Bwana
Ufutae uso wangu aibu na fedheha ni wewe Bwana
Hayupo mwingine aa kunifuta machozi yangu ila ni wewe
Ninapokosa ujasiri na nguvu zijaponiishia msaada wangu ni wewe.
Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Hayupo mwingine ila wewe Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe msaidizi wangu Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni weweView attachment 2060233




nkamu tumechoka kukuomba kiupole sasa natumia mabavu.....Heaven sent nataka picha yako hapa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Good luck!
Tulishalia na kuomba sana kwa huyo Nkamu lakini hakuna kitu. Inasikitisha sana!


Wimbo mzuri sana Mtumishi
Mungu Atulinde sote na kutuongoza
Wee!may be kipindi hiko sasa hivi wali waliwa huyu!Class mate...
Ila huyu mwamba ana character za kike japo sio ....
Akhsante sana mkuu nimeipata/ona imefikaMkuu T 1990 ELY. Hatimaye nimefanikiwa kutuma mchango wangu wa rambirambi. Hebu confirm kama umefika. Nina nusu saa tu ya ku-cancel kama kutakuwa na mushkeli mahali. Ubarikiwe kwa kujitolea kufanya hii shughuli![]()


Muache aendelee kumtazamia Bwana wa majeshi
انا لله وانا اليه راجعوان.
Ngoja waendelee kukisia🤣Kwamba kwenye ile mishono hujaniona kabisa?![]()
Sawa mkuuChief naomba unisaidie mawasiliano ya kutuma mchango wa kuhani wa kipenzi chetu mawardat![]()
Kesho INSHAALLAH nitafanya hivyoSawa mkuu
+255768683021-Paul Ellyson Lugiko
Namba ya wakala M-pesa
167517-NENGELO OIL



niko serious hujui mimi ni Mode.....nitakupa umeme miez minne




Salama kabisa!Sawa
Kwema lakini mkuu
