Mimba changa uwa zinasumbua sanacc naumwa homa ya ajabu cjawah hata ona, ulimi wangu mchachu, yaan kila nachoweka nakisikia kichungu, nimejaribu sukari kulamba had nkatema, maumivu chini ya kitovu yaan nahis kiuno kinatak kujiacha, nmetapika mara 4 had saiv, natema tema mate hovyo, afu mabega yanauma km vile mtu kanipiga, kunyanyua kwapa swezi,
Jana usiku nlishikwa na joto kali, kitandani nliona panawaka moto, nkatoka nkashka chini nilale kwenye tiles nazo naona zina moto, nkatoka nkaenda sebulen kukaa kweny sofa haiwezkan, nkawa nazungka tyuuh sebulen huku nalia maumivu ya kiuno, mabega, kichwa, usingzi nmepata SAA 12 nmelala nmeshtka SAA 3 iv kutaka kutapika nlichelewa nkatapikia kitandan, yaan nahangaika tyuuh hapa. Halii hii ikiendelea had kesho naenda moro kwa dada.
Hapa nipo sina hata hamu ya kula,![]()
Pole sana ,cc naumwa homa ya ajabu cjawah hata ona, ulimi wangu mchachu, yaan kila nachoweka nakisikia kichungu, nimejaribu sukari kulamba had nkatema, maumivu chini ya kitovu yaan nahis kiuno kinatak kujiacha, nmetapika mara 4 had saiv, natema tema mate hovyo, afu mabega yanauma km vile mtu kanipiga, kunyanyua kwapa swezi,
Jana usiku nlishikwa na joto kali, kitandani nliona panawaka moto, nkatoka nkashka chini nilale kwenye tiles nazo naona zina moto, nkatoka nkaenda sebulen kukaa kweny sofa haiwezkan, nkawa nazungka tyuuh sebulen huku nalia maumivu ya kiuno, mabega, kichwa, usingzi nmepata SAA 12 nmelala nmeshtka SAA 3 iv kutaka kutapika nlichelewa nkatapikia kitandan, yaan nahangaika tyuuh hapa. Halii hii ikiendelea had kesho naenda moro kwa dada.
Hapa nipo sina hata hamu ya kula,![]()
Asante boss lady. Nyote mbarikiwe sana

Asante sana binti. Nafurahi kusikia kuwa hujambo. Nilikuwa na wasiwasi sana kwa sababu ulipotea ghafla tu bila kuaga. Sikukuu njema sana na mibaraka tele kwako na wapendwa wako wote.Shimba Ya Buyenze (daddy i love you)
Mshana Jr (anko i miss yoooo)
Saint Anne (cha ubishi)
mtu chake (kipenzi)
RRONDO (ohooo)
Karma (ile filingi tunayo kwa rrondo)
cocastic (kipendhi i missd yo)
Jack Palladino (shem darling...)
Mjep (brother mambo ni ajeee)
Heaven Sent (bwana asifiw m.mchungj
The Wolf (nakukubaligi sana)
The Monk (nakukubali mno)
na wengine wooooteee ambao sijawataja kwa haraka haraka.
Merry Christmass & Happy New Year

🤣🤣🤣🤣🤣Boss lady….
Mimba hyoooocc naumwa homa ya ajabu cjawah hata ona, ulimi wangu mchachu, yaan kila nachoweka nakisikia kichungu, nimejaribu sukari kulamba had nkatema, maumivu chini ya kitovu yaan nahis kiuno kinatak kujiacha, nmetapika mara 4 had saiv, natema tema mate hovyo, afu mabega yanauma km vile mtu kanipiga, kunyanyua kwapa swezi,
Jana usiku nlishikwa na joto kali, kitandani nliona panawaka moto, nkatoka nkashka chini nilale kwenye tiles nazo naona zina moto, nkatoka nkaenda sebulen kukaa kweny sofa haiwezkan, nkawa nazungka tyuuh sebulen huku nalia maumivu ya kiuno, mabega, kichwa, usingzi nmepata SAA 12 nmelala nmeshtka SAA 3 iv kutaka kutapika nlichelewa nkatapikia kitandan, yaan nahangaika tyuuh hapa. Halii hii ikiendelea had kesho naenda moro kwa dada.
Hapa nipo sina hata hamu ya kula,![]()
Kabisa yani afu kizazi cha kipindi hiko sikipatii picha!!Very cute, kama Mama yake 😘😘
Siku nikibahatika kupata kitoto cha kike lazima nifuge mbwa nyumbani kwa ajili ya Ulinzi shirikishi 😜
Aaahh!wapi...!!Hahahaaa! Nina wawili mbona mkubwa yupo hukooo kwa bibi ake nimebakiza wa mwisho nafunga.!

!!!huna ht mmoja!Nami nimemwambia yaeza kuwa yenyewe haha!Mimba hyoooo
Lol nakuja fastaaa 💃💃💃💃Uje PM kuna zawadi yako…
Lol nakuja fastaaa![]()
Safi mrembo