Asante Bro, Asante sana... Sikukuu njema na kwako pia... Kuna sehemu nilipata mwaliko..Sikukuu njema bro (japo sina uhakika kama unasherehekea)
Ubarikiwe sana [emoji1545][emoji1545]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Dah mkuu umekosa adabu[emoji16]
Unampigaje mtu pichaamebinuka hivyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua tu utatoa neno.
Wewe sasa ndiye kielelezo changu cha kwanza.
100% possible...!!! Wala usishawishike!simlaumu na simhukumu anaekunywa maana kila mtu na starehe yake...!!!Huwa natiwa nguvu ninapoona watu kama nyie.[emoji7][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kumbe inawezekana[emoji120]
Mjukuu wangu yuko wapi? Hapatikani kila sehemu yaani. Ole wako! [emoji51][emoji51][emoji51]Yaani leo sijapata mwaliko hata mmoja! Haina noma EID haiko mbali, mtu asije lalamika nikimjibu "wakti dhuhri" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji848] Shikamoo mara 70Wanacheza na moto.
Desemba mwaka huu nagonga 76. Kila kiungo cha mwili kinauma yaani. Huwa nashangaa sana nikiona watu wakijifanya eti wazee. Uzee siyo lelemama!
Oohh!!thank you honey[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]maombi yamepokolewa mpk mbinguni!![emoji1][emoji1][emoji1]hako ka uvirgin sasaa....!!!I have a friend pia ambae hatumii kabisa..hata tukiwa na girls day out wote tutakunywa hata vi wine yeye hagusi na hajawahi kuonja hata kifuniko..maombi yangu kwenu muendelee hivyo hivyo aisee. Mnakua na kau virgin kenu flani ivi spesheli..Respect
[emoji2][emoji2][emoji2]ajishaue eehh!Jishaue tu
[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani leo sijapata mwaliko hata mmoja! Haina noma EID haiko mbali, mtu asije lalamika nikimjibu "wakti dhuhri" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Marahabaaaa mara 70 mjukuu.[emoji848] Shikamoo mara 70
Mapishi ndo yanaanza sasa. Krismasi ya kwanza ugali...Wanyaki wote karibuni ila tu mje na maparachichi pulizi. Vingine vyote mtavikuta [emoji16][emoji16]
View attachment 2057492View attachment 2057493
Ndizi bila nyama ya kutosha hazinogi. Mkija na maparachichi aisee itakuwa poa mno. Sikukuu njema Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545]Sasa Mtumishi hapo unakula ndizi nyama au unakula nyama? Tunakuja na maparachichi yetu
[emoji2][emoji2][emoji2]ajishaue eehh!