Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,302
Hahahaaa! Nina wawili mbona mkubwa yupo hukooo kwa bibi ake nimebakiza wa mwisho nafunga.!Umemuiba wapii?![]()
Hahahaaa! Nina wawili mbona mkubwa yupo hukooo kwa bibi ake nimebakiza wa mwisho nafunga.!Umemuiba wapii?![]()
Vizuri sana kama nyie wote hamjambo....Mungu ni mwema sote hatujambo saivi tushavimbiwa pilau na makolokolo ya sikukuu!

Merry Christmas to haka kabeautiful little angel, kazurii
Taratibu imeupiga mwingicc naumwa homa ya ajabu cjawah hata ona, ulimi wangu mchachu, yaan kila nachoweka nakisikia kichungu, nimejaribu sukari kulamba had nkatema, maumivu chini ya kitovu yaan nahis kiuno kinatak kujiacha, nmetapika mara 4 had saiv, natema tema mate hovyo, afu mabega yanauma km vile mtu kanipiga, kunyanyua kwapa swezi,
Jana usiku nlishikwa na joto kali, kitandani nliona panawaka moto, nkatoka nkashka chini nilale kwenye tiles nazo naona zina moto, nkatoka nkaenda sebulen kukaa kweny sofa haiwezkan, nkawa nazungka tyuuh sebulen huku nalia maumivu ya kiuno, mabega, kichwa, usingzi nmepata SAA 12 nmelala nmeshtka SAA 3 iv kutaka kutapika nlichelewa nkatapikia kitandan, yaan nahangaika tyuuh hapa. Halii hii ikiendelea had kesho naenda moro kwa dada.
Hapa nipo sina hata hamu ya kula,![]()





Kwema mkuuMerry Christmas to haka kabeautiful little angel, kazurii
Asante na kwako pia heri ya Christmas na mwaka mpya mamy!Merry Christmas to haka kabeautiful little angel, kazurii
Aaaaah hiyo mimba naitoa wapi mie, acha utan bas wee.Dalili za kuingia mimba changa hizo mkuu
Kapime
Hapa nawaza labda kuna kitu nilikula kimenidhuru, lakini sikumbuki km nimekula kitu kibaya siku za karibuni hivi.Fanya uende kwanza !



Kwa ulivoelezea hapo nguvu unazo kweli????????Hapa nawaza labda kuna kitu nilikula kimenidhuru, lakini sikumbuki km nimekula kitu kibaya siku za karibuni hivi.![]()
Wee pia ulivoumwaga vile ndo ilikua km hivi? Yaan hapa nilipo nawaza vitu vingi, hata sielew yaan kwa kweli, nabaki kuogopa tyuuh.Taratibu imeupiga mwingi![]()
Duh pole dear, uende hospital sasa ukachekicc naumwa homa ya ajabu cjawah hata ona, ulimi wangu mchachu, yaan kila nachoweka nakisikia kichungu, nimejaribu sukari kulamba had nkatema, maumivu chini ya kitovu yaan nahis kiuno kinatak kujiacha, nmetapika mara 4 had saiv, natema tema mate hovyo, afu mabega yanauma km vile mtu kanipiga, kunyanyua kwapa swezi,
Jana usiku nlishikwa na joto kali, kitandani nliona panawaka moto, nkatoka nkashka chini nilale kwenye tiles nazo naona zina moto, nkatoka nkaenda sebulen kukaa kweny sofa haiwezkan, nkawa nazungka tyuuh sebulen huku nalia maumivu ya kiuno, mabega, kichwa, usingzi nmepata SAA 12 nmelala nmeshtka SAA 3 iv kutaka kutapika nlichelewa nkatapikia kitandan, yaan nahangaika tyuuh hapa. Halii hii ikiendelea had kesho naenda moro kwa dada.
Hapa nipo sina hata hamu ya kula,![]()
Hapa nipo kitandan nguvu ya kufanya chochote sina, kutembea najivuta, kunyanyuka nafanya kujiburuza kwan, hii homa gan jaman.Kwa ulivoelezea hapo nguvu unazo kweli????????
Yaan ndo nawaza hivyo hapa dear,Duh pole dear, uende hospital sasa ukacheki



Siri ni kibubu, tupo radhi tule ugali dagaa mwaka Mzima ili kuweka akiba 😜😜🙈eti eeeh? Wengine walianza tangu wakp watoto had leo hazijafka hivyo, hebu nieleze siri ya mafanikio.
![]()
Piga vyombo dogoHapa nipo kitandan nguvu ya kufanya chochote sina, kutembea najivuta, kunyanyuka nafanya kujiburuza kwan, hii homa gan jaman.
Pole ila dalili hizo nilizipata kama a week now na bado sijapona aisee ila maumivu yake hayaeleweki kabisa, utakua sawa tu lkn. PoleeYaan ndo nawaza hivyo hapa dear,![]()
Unaogopa niniWee pia ulivoumwaga vile ndo ilikua km hivi? Yaan hapa nilipo nawaza vitu vingi, hata sielew yaan kwa kweli, nabaki kuogopa tyuuh.

Kwema mkuu za sikukuu?Kwema mkuu
Very cute, kama Mama yake 😘😘
Vizuri sana kama ni kwema mkuuKwema mkuu za sikukuu?