Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Piga bia wewe upone
cc naumwa homa ya ajabu cjawah hata ona, ulimi wangu mchachu, yaan kila nachoweka nakisikia kichungu, nimejaribu sukari kulamba had nkatema, maumivu chini ya kitovu yaan nahis kiuno kinatak kujiacha, nmetapika mara 4 had saiv, natema tema mate hovyo, afu mabega yanauma km vile mtu kanipiga, kunyanyua kwapa swezi,

Jana usiku nlishikwa na joto kali, kitandani nliona panawaka moto, nkatoka nkashka chini nilale kwenye tiles nazo naona zina moto, nkatoka nkaenda sebulen kukaa kweny sofa haiwezkan, nkawa nazungka tyuuh sebulen huku nalia maumivu ya kiuno, mabega, kichwa, usingzi nmepata SAA 12 nmelala nmeshtka SAA 3 iv kutaka kutapika nlichelewa nkatapikia kitandan, yaan nahangaika tyuuh hapa. Halii hii ikiendelea had kesho naenda moro kwa dada.

Hapa nipo sina hata hamu ya kula, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Polee kwa kuumwa shoo au u mjamzito??? Make preg nayo ina visa vyake!!??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji12][emoji12][emoji12][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shos ucnichekeshe hapa, yaan natema mate km kinyonga, nimekaa na kopo hapa natema humo. Hata sijui homa gan hii wallah. Sielewi hata.
 
Pole sana Aisee! Hujaenda kuicheck ujue kisa???
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoko wapi shos naona wee na doutie mko tayar kwa matembezi.
Nguo mmejua kuchagua, afu why wee umeshona suruali af mwenzio umempa sketi? Ukorofi huko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
cc naumwa homa ya ajabu cjawah hata ona, ulimi wangu mchachu, yaan kila nachoweka nakisikia kichungu, nimejaribu sukari kulamba had nkatema, maumivu chini ya kitovu yaan nahis kiuno kinatak kujiacha, nmetapika mara 4 had saiv, natema tema mate hovyo, afu mabega yanauma km vile mtu kanipiga, kunyanyua kwapa swezi,

Jana usiku nlishikwa na joto kali, kitandani nliona panawaka moto, nkatoka nkashka chini nilale kwenye tiles nazo naona zina moto, nkatoka nkaenda sebulen kukaa kweny sofa haiwezkan, nkawa nazungka tyuuh sebulen huku nalia maumivu ya kiuno, mabega, kichwa, usingzi nmepata SAA 12 nmelala nmeshtka SAA 3 iv kutaka kutapika nlichelewa nkatapikia kitandan, yaan nahangaika tyuuh hapa. Halii hii ikiendelea had kesho naenda moro kwa dada.

Hapa nipo sina hata hamu ya kula, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Dalili za kuingia mimba changa hizo mkuu

Kapime
 
Back
Top Bottom