Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Heee😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani inabidi nicheke tu..
Don’t try aisee
Hadi wewe umesema nisijaribu basi itakuwa kali
Heee😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani inabidi nicheke tu..
Don’t try aisee
Umenikumbusha mbali sanaaa 😔😔😔😔.. haya maisha yalikuwa mazuri sana, yenye amani na furaha
Kwanini?Kati ya pombe zote za hovyo hiyo inaongoza. Ukiinywa bila mazoea inaweza kukuaibisha sana!
[emoji23]Wifii, mzima? Huyu mdogo wako?
Kama soda ipi?Tamuuuu
Ningekula ugali na mboga za pembeni.
Zaidi ya sodaKama soda ipi?
Inaendana na soda gani?Zaidi ya soda
Yenyewe ndio safiInaendana na soda gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yenyewe ndio safi
😂sioni vizuri, naona msuko wa" twende kilioni" na shati la shule?[emoji23]
Nafanana naye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sioni vizuri, naona msuko wa" twende kilioni" na shati la shule?
🤣🤣Umenchekesha, eti wadudu..Ningekula ugali na mboga za pembeni.
Hao wadudu [emoji2356],kaka naye huwa anakula?
Unazikuza nywele tena, ulizikata zile ndefuuuu nzuriiii kha! Roho iliniuma kama zangu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mimi nimesuka twende kilioni.
Shati nyeupe wii[emoji1787]
Nilikata wiiiUnazikuza nywele tena, ulizikata zile ndefuuuu nzuriiii kha! Roho iliniuma kama zangu
Kaka anakula?[emoji134][emoji1787][emoji1787]Umenchekesha, eti wadudu..
Watamu haooooo..