Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
itabidi location ibadirishwee.. mgonjwa si unajua anatakiwa ku relaz πππ.. inabidi twende mahala tulivuuu ili mgonjwa apone chap chapUnajua pa kunipata.
Lete hilo jipu nifanye yangu[emoji1787][emoji1787]
Nyumbani kwangu chap unapona.itabidi location ibadirishwee.. mgonjwa si unajua anatakiwa ku relaz [emoji23][emoji23][emoji23].. inabidi twende mahala tulivuuu ili mgonjwa apone chap chap
Nimeokoka siku hizi ndugu yangu [emoji23][emoji23][emoji23]Hutumii alcohol?
Weweee!View attachment 2054903
Njoo tunywee hata haileweshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo hata nikila mara 10 sishibiAu unakula hizo mara 3 [emoji23] ndio unashiba
Wewe unapenda kula kama mimi tuHizo hata nikila mara 10 sishibi
[emoji847]Naja babe
[emoji16]Wewe unapenda kula kama mimi tu
Ngoja nitulie...npo mizururo[emoji847]
Tupia selfie yako ile ya nywele,unimotivate kunyoa[emoji847]
Nasubiri[emoji847]Ngoja nitulie...npo mizururo
Nyumbani huwa hakuna emergency πππNyumbani kwangu chap unapona.
Korogwe[emoji53][emoji53]Rock hill ipo maeneo ya wapi? Shem
Absolutely correctly..Korogwe[emoji53][emoji53]
Heee, huu tu?Ila Wanaume mnakula jamani, Ugali wote huo.
Usile hadi kesho[emoji3]
Absolutely correctly..
Good lyrics. Nizame mjini you tube niutafuteMimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi,
Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi
Wale tisa sijui,
Ila mimi nimekuja kusema Asante
Najiuliza, Nikulipe nini, kwa yote ulionitendea mimi,
Baba ni mengi, siwezi lipa hata kwa senti
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa,
Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa.
Ee Baba,
Nikulipe nini, nikulipe nini?
Uliyonitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x5)
Nachojuaga, huwa unaongezaga
Kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru
Nachojuaga, huwa unaongeza, zaidi.
Sikushukuru tu kwa haya uliyotenda,
Ila, Hata kwa yale ambayo hujayatenda
Huku nikiamini, Shukrani ni sauti ya imani
Fedha (Haitoshi kukushukuru)
Dhahabu (Haitoshi kukushukuru)
Ee Baba
Nikulipe nini, nikulipe nini
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x2).
Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE (Γ4)View attachment 2054922
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Naomba zawadi yangu sasa[emoji108][emoji108][emoji108]
Nina vifaa vyote[emoji6]Nyumbani huwa hakuna emergency [emoji6][emoji6][emoji6]
Wacha weeeee... emergency zingine azi apply home πππNina vifaa vyote[emoji6]