Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji849][emoji849] Bora kusimangwa, unaambia uende na mlie peana, wakati hapo hata hujui ulipo utolea ndio kizaa zaa kinaanzia hapo na Dr, unakuta analeta nyoodoo.. Ukweli Azah ni mkombozi pamoja na Azuma.. wamepusha mabaharia kukutana na fedhea
[emoji1787]
Ila hizi dawa mbaya sana.
Mabaharia wanavumilia aisee...hivi nawaza tu nisikunywe maana nipo poa tu sasahivi.
 
[emoji1787]
Ila hizi dawa mbaya sana.
Mabaharia wanavumilia aisee...hivi nawaza tu nisikunywe maana nipo poa tu sasahivi.
Hizi dawa ukienda nunua kwa vijana wa hovyo kama mie wanajua , tayari kijana yupo connected οΏΌοΏΌοΏΌ hata kama unaenda tibia kifua, wao watajiongeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…