Anhaa nimejua kwanini ulimuacha JP [emoji16][emoji16][emoji8]
Nafsi yangu inakufurahia wangu wa moyoni .
Unajua vile nakupenda mno..
Hakika Mungu ni mwema kwetu[emoji173]...
Hivi Unajua mama mtumishi hachoki kumuangalia gentleman wake?
Panavutia sn aseeSasa ndo inakuwaje? Keshokutwa Krismasi lakini hakuna zawadi hata moja chini ya mti [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2054762
Hapa ni two-in-one, mchana napiga dash. [emoji2][emoji2]View attachment 2054272
Sasa ndo inakuwaje? Keshokutwa Krismasi lakini hakuna zawadi hata moja chini ya mti [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2054762
Kuna ugali mwingine unakuja au ndiyo imetoka hiyo? [emoji15][emoji15][emoji15]
Happy belated birthday Nkamu Mungu akupe kila aina ya baraka, More life more money more hapiness[emoji7] Wewe ni mmoja ya watu ninaowapenda humu JF
Ndaga nkamu, wewe mwenyewe ni kastaarabu sana tu ntaendelea kukuiga[emoji7]
Nimekumbuka mbali[emoji23][emoji23]
Hivi kavu kavu inamezeka?
Yeah, and the Beat.Had to check it out....
The chorus is cool!
Asante baba mtumishi wanguCan somebody shout AMEN?
Hopeful Mataga hawakuniona [emoji1787][emoji1787]
Itoshe tu kusema;-
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anhaa nimejua kwanini ulimuacha JP [emoji16][emoji16]
Wakati mshkaji anaongea hivyo mi naomba nikutoe out kidogo tu Ever, especially sikukuu hii[emoji39][emoji23]Thank you Shimba!!!
Mwenzio ni kiburudisha mdomo hicho wakati anadrive.Hivi kavu kavu inamezeka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe nkamu, mimi sio wa kuigwa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jambo dogo sana hilo kwa lecturer wakoNatumia maji, togwa, mbege, ulanzi km hivyo tyuuh
Nasubiri hiyo baadae kuona Jack Daniel's na Guinness. [emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi vijana wa ulimwengu wakachukue somo kanisani kwenye Biblia.Hivi ni baharia gani aliandika Wimbo Ulio Bora? Ni Sulemani ama? Alishusha nondo za kufa mtu na wakati tukiwa vijana enzi zetu hakuna simu bado tunatuma barua za maua maua na vimishale usingekosa mafungu kutoka katika kitabu hiki. Nasikia kulikuwa na mzozo mkubwa wa kukikubali kama sehemu ya Biblia na kiliingizwa kwa mbinde tu...
View attachment 2054800
KabisaSaint Anne kila siku anakuomba picha Ila humsikilizi,km unangoja ruhusa yangu Tyr nimekuruhusu