Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ngoja tuwape viti kabisa mketiTupewe wapi cc
Hapa anaweza yesu kurudi, na picha tusipewe lol![]()
Kwani kesho unaleta quiz kweli?Ulale sasa









Huna DSTV utazame Jua kaliMlongo napenda hivi katuni,yaani sichomoi
unataka nitizame sinema zetu![]()




Unapenda guinness eehKesho upost Guinness![]()
Naona mmenibatiza u-lecturerKwani kesho unaleta quiz kweli?
Sifiki kesho class mie, ila ukitoa mda huko huko ntakuwepo class![]()







mbavu zangu mie uwiiiih




Post my ex
Nawasubiri mlale madogo,nipost .
Watafika mbinguni wapo hoimbavu zangu mie uwiiiih
cc@Saint Anne tazama huko 4 nn sijui,![]()
Nasubiri mlale watotoPost my ex
Dstv nilishaisusaga kitambo haijalipiwaHuna DSTV utazame Jua kali![]()
,hivi Huba imeisha?Ahaaaa my ex weka tuone kiuno cha dondoraNasubiri mlale watoto
Nitaweka watoto mkilalaAhaaaa my ex weka tuone kiuno cha dondora
Na wewe bado upo macho?leo ni balaaaDstv nilishaisusaga kitambo haijalipiwa,hivi Huba imeisha?
Mimi mtoto tena?Nitaweka watoto mkilala