Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah zile nywele nimewahi kusuka mara 1 tu maisha yangu yote hadi sasa.
Zinapoteza mno muda,,,mimi nywele ya kusuka muda mrefu huwa nachoka mapema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee hutaki kubadilisha mtindo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huyo uliye mtaja muache, mkewe anafaidi aseeh, kwa wembamba ule na urefu piaa, aaah afu iwekwe style ya msomali kafia kwenye fiati acha bhana wee,

Kukinaisha kunatokana na huo ubonge jaman wee mzee, sasa mwanaume unakua bonge ili ugundue nn? Kawe kakitambi ka kufutia tecno F1 bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakuja hivyoo hebu niwekee na kitumoto na maji makubwa ya masafi au kitulo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeeeh makubwa haya tena lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni vizuri kuwa na less expectations katika kila jambo chief

Eti sura za kulia bata..hivi jf hii misemo mnatoaga wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapa hadi tumbo linauma mie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee hutaki kubadilisha mtindo?
Siyo kwa zile nywele za kukaa masaa yote zinasukwa tu.


Halafu mimi nina phobia na kubadilisha mitindo.
Kipindi nasoma chuo nilikuwa nasuka nywele za aina moja tu!
Sasa kuna watu wakawa wanauliza mbona nywele zako hazifumuki na hazichakai miaka yote,,kumbe mwenzao zikichoka naenda tena kusuka kama zile zile na fundi yule yule.

Kipindi nimeenda graduu yule fundi aliniwahi akasema leo hanisuki nywele ninazosukaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikataa kata kata ,akasema yupo tayari hata kuninunulia weave jingine bure.
 
tatizo unaweza soma comment ya mtu jukwaa la Urembo kule ukajisemea hii mtoto lazima itakua pisi tu sio kwa namna inajua kuvaa na kupangilia vitu asee..

Njoo selfika ukutane na vidole vyake ndio utajua hujui kufikiria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…