Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,767
- 22,041
Jamani msiwapelekee shida wazee wenu tulieni mjiniWasafiri wa December hao [emoji57][emoji57]
Pole [emoji19]
Pata Azuma asap!!!
Jamani msiwapelekee shida wazee wenu tulieni mjiniWasafiri wa December hao [emoji57][emoji57]
Pole [emoji19]
Pata Azuma asap!!!
Happy birthdayOoh you know how much i love you baby sis. Mungu atutunze.
Btw tangu asubuhi nipo location, nikitoka huku una mvua ya mapicha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2052621
[emoji28] yenyewe inaongezekaga tuHahhha so bei ya Petrol haitakiwi kushuka kabisa eeh? Thanks dearest Vale
Broh naona kitu kimetuna hapo mbele [emoji23][emoji85]Jioni kama hivi.. mambo yetu wanaume wa Dar es Salaam.. View attachment 2052639View attachment 2052640
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vichomi tayari ninavyo ila kwa hili joto acha vinishike tu hakuna namna.
🙄🙄🙄😳😳😳😳😳 NomaBroh naona kitu kimetuna hapo mbele [emoji23][emoji85]
Hao ndege wanaitwaje? Au ni ndege mwarabuHii picha niliizoom sana kupiga hao ndege watatu, mmoja ni kunguru. Nilivutiwa na hao ndege hasa ubishi wa kunguru wa kutaka kugombania chakula na huyo ndege mkubwa kiumbo.
Funzo: usijione mnyonge pigania haki yako hata mbele ya wenye nguvu.[emoji120]View attachment 2052638
[emoji120][emoji120][emoji120]Amen. Ahsante sana Coca[emoji8][emoji8][emoji8]
Leo umeamua [emoji23][emoji23][emoji23]Ooh you know how much i love you baby sis. Mungu atutunze.
Btw tangu asubuhi nipo location, nikitoka huku una mvua ya mapicha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2052621
Hahah mzee wa daslam.....Jioni kama hivi.. mambo yetu wanaume wa Dar es Salaam.. View attachment 2052639View attachment 2052640
Yeahh!
Huko mguno hapana kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmmmh
Cake ya birthday mama tunapeleka wapi? Naomba malocationLeo umeamua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mandege mara ya mwisho niliyaona urambo....Yeahh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Broh naona kitu kimetuna hapo mbele [emoji23][emoji85]
Poleni saaanaAsee issue ya mafua na homa tayari imefika mkoani. Mimi mwenyewe najiskia abnormal.