Hiyo kitifireee auView attachment 2050120
Tunamalizia weekend
Utakuwa kijana mwema siku zote.Amen. Mniombee nikiwa mkubwa nikuwe kwa maadili mema.
Amen.Utakuwa kijana mwema siku zote.
Yani![]()
Ngoja niangalie kama majirani zenu watanifaa zaidi.
Nyie mnajipenda wenyewe tu....hamkutaka na mie nile bata kwenu
![]()
Na mimi bado sijasahauHalafu mtakatifu sijasahau ujue
Weka pichaNa mimi bado sijasahau
Nakuelewa mdogo angu. Ila inasaidia sana; hata ukianza kuishi mwenyewe, unaishi kwa adabu

Hakika.Nakuelewa mdogo angu. Ila inasaidia sana; hata ukianza kuishi mwenyewe, unaishi kwa adabu
Ukiweka nawekaWeka picha
Hiyo kitifireee au
Du zenidiful basiNa mimi bado sijasahau
NakubariiiiiHapana kuna mbuzi, kuku, ng’ombe na samaki
Mi naomba kukuHapana kuna mbuzi, kuku, ng’ombe na samaki
Sawa LeeView attachment 2050138
Hiyo hapo
Anza sasa ili nimalizieDu zenidiful basi
Mi naomba kuku
Asanteee kwa nenoo