Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani kama nakuona vile ulivokua kwenye hiyo purukushani na paka maskini....
 
Huyo nyau alikuwa mimi.. Huo ndio uchawi sasa
 
Hapana mimi ninachojua ni kwamba binadamu ni mtu yeyote yule maana yake ni kwamba anaweza kuwa mwanaume au mwanamke na ndiyo maana nikakurekebisha ile kauli yako sasa wewe unayesema kwamba binadamu ni mwanaume tu ndiyo uniambie mwanamke ni nani
Hapa tutajikuta tunarudi katika vitabu. Ila MUNGU aliumba Mtu, kwa mfano wake, yaani Mwanaume na mwanamke (Adam / Eva).
 
Ukifatilia vema utaona kuw sipo katka hoja yako.

Au tufanye hivi, wew hiyo sentensi umeielewaje?
Ulisema binadamu ndiyo tunamiliki hii ardhi mimi nikakurekebisha nikakuambia ungesema wanaume ndiyo mnamiliki hii ardhi maana ukisema binadamu hata wanawake nao ni binadamu lakini hawamiliki hii ardhi so you could've been specific
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…