nnae chura mdogo mdogo
Nikiweka haya yafutayo itakuwa wew ndiye wasema.Wewe wasema.
Ijumaa hii inshallah
.Dear climate.......dear mvua
Hahahaha, hapana asee mie sio baharia, mpambanaji tu wa kawaida niaje lkn Kaka kwema ?Baharia
HahahahaBaba karibu mjini nimekumiss utanikuta eapoti nakusubiri![]()
Niko mjini, nina Massa km 144 hivi ya kuzururaMungu ni mwema kabisa... Bado hujarejea nchini?
Viumbe kama Dinosaurs ambao walikuwepo kabla ya viumbe wengine waliumbwa na nani? Kila mtu anaamini anachoona ni sawa kwake. Naamini katika evolution.Nikiweka haya yafutayo itakuwa wew ndiye wasema.
Mwanzo 1
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Zaburi 115
16 Mbingu ni mbingu za Bwana, Bali nchi amewapa wanadamu.
Bulubendi sio hizi.Wa kwanza mwenye kitambi View attachment 1225407
Poa poa, mie naelekea mitaa ya mbweniKaribu Pwani naelekea town takucheki