HahahahaBlue Monday.. Jitupieni basi
Hilo bunda la pembeni ya hao wekundu litanifaa sana zis bruu mandei mzee
Kwenye hayo mamilion ukinipa tatu basi
[emoji125][emoji125]View attachment 1225625
Naomba hiyo saa☺️
😃😃 inawezekana, but y umehisi hivyo?Unaonekana upo down to earth sana...
Depal nakuja mjini lakini sibebi tunguli... Ntavaa kiblazameni tu[emoji23][emoji125][emoji125]View attachment 1225625
Njoo uchukueNaomba hiyo saa☺
🤣🤣🤣🤣Dah! Kumbe za waungwana? Basi tena[emoji23][emoji23][emoji23]za uganga hizo lakini... Mteja kalipia huduma
Niambie wapi nije?Njoo uchukue