Selfika na JF: Snap it. Show it

Oohh sema kwa Aura Mall huwa wanaonesha in 2D na Dar Free Market pia huwa wanaonesha in 2D. Mlimani City mara nyingi kama siyo zote huwa wanaonesha in 3D.
 
Hatari sana wabongo tuna safari ndefu sana [emoji3][emoji3]
Sana yaani, shida yote hiyo ni kuvizia teuzi ili kama vetting hautafanyika vya kutosha jamaa wajichanganye PhD ya kusoma class miaka 4-6 na PhD ya Mchongo manake wote wataitwa Dr. 😀
 
Oohh sema kwa vile wewe umeenda Aura Mall huko huwa wanaonesha in 2D na Dar Free Market pia huwa wanaonesha in 2D. Tuliozoea Mlimani City kwenye ile the biggest screen in east africa mara nyingi kama siyo zote huwa wanaonesha in 3D.
hahahaha wa kishua mambo ya 3D. sie wa vibanda umiza kwa lufufu .tunapita hv
 
Sana yaani, shida yote hiyo ni kuvizia teuzi ili kama vetting hautafanyika vya kutosha jamaa wajichanganye PhD ya kusoma class miaka 4-6 na PhD ya Mchongo manake wote wataitwa Dr. [emoji3]
Aahh viongozi wetu wanatia aibu sana yaani bongo sifa ya kuwa kiongozi ni uwe vizuri kwenye ndumba hayo mengine unajisumbua bure [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Jana usiku nimecheka sana nilivyosoma comments za watu juu ya wasomi wetu waliotunukiwa PhD zao pale Chimwaga.
Almanusura nizimie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UDOM hoyeeeeh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UDOM hoyeeeeh.
Wengi wanakiandama Udom kwa sababu hawakipendi ila hizi PhD Udom siyo ya kwanza kuanza kuwagawia watu[emoji1787]
 
Watu wanagawana tu PhD Kama togwa ya ngomani
Tutafute hela na sisi tukachukue aisee.
Akina Biteko sasahivi nimadaktari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Wanajamiiforum walivyowakalia kooni sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…