cc mie sitaki ujue, yaan nacheka km chizi hapa, muache lect apunguze ukame, maana asipofanya hivyo atakua na hasira mda wote, na kupelekea kuwakata marks wanafunzi wake.

Hawaoni mikoa kama Morogoro jamani? Wangetuachia Mbeya yetu na Songwe ingeendelea kuwa wilaya tu, maana wamefanya hadi airport mpya kijiografia iwepo Songwe na Mbeya hatuna airport, wakati ile airport ilitakiwa iwepo Mbeya!

Nidahili Kwanza, suala la muda nitavumilia. Nikitumia miaka 3 kuhitimu usisite kunizawadia PhD ya mchongo walau na Mimi niitwe Dr. Grahams in future πππππ