Yaani siyo kuingiliana tu!,inafanana maneno yote kasoro pronounciation tu.
Mikoa yetu ilivyo na lugha nzuri,,yaani mndali na mnyakyusa wanaongea na wanaelewana pasi na matatizo.
Na kule ileje mndali na mnyiha wanaelewana vizuri...
Halafu kinyiha nacho ni kisafwa kilichochangamka.