Kumbe kijana wa watu yuko safi kwa matumizi ya binadamu na anashawishi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji3064][emoji15]Ni yeye Obadia mwasebwa (obby).
Kumbe kijana wa watu yuko safi kwa matumizi ya binadamu na anashawishi.
Sasa sijui hapo alipaka mafuta ya bunduki au oil lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2048656View attachment 2048657
Kwema mzee, Habari za masiku?Mzee hijab niaje
Hahaaa mnakwama wapi [emoji2][emoji2]Saint Anne na Hannah leo wanyaki day imehamia Bwagamoyo[emoji8][emoji8][emoji8]
Dah huyu kama safi saaanaNi yeye Obadia mwasebwa (obby).
Kumbe kijana wa watu yuko safi kwa matumizi ya binadamu na anashawishi.
Sasa sijui hapo alipaka mafuta ya bunduki au oil lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2048656View attachment 2048657
Naaam. Tukija bukoba lazima tuje kukusalimia[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji12][emoji12]
Hivi huyu dada amesha oleewa??Happy birthday Shangazi Maria Sarungi, kiukweli umekua mwanamke wa mfano sana katika uwanja wa Kupigania haki, historia itakukumbuka.View attachment 2048652
Tutangazie tu mama maana wanaudharau sana mkoa wetu eti kisa ghorofa lenye elevators liko moja tu wakati sasa hivi yako mawili. Mbeya yenyewe tu ilivyo geographically ni elevated region hivyo haupendezi kuwa na majengo marefu sana.Nipeni kazi niwatangazie [emoji6]
Wanyakyusa tupo wa Kyela na wa Rungwe mkuu. Mimi ni wa Kyela but nimeishi Mbeya mjini for more than three years na nimetembea wilaya karibu zote za mkoa wa Mbeya.Nilivyoona ile siku mkiongea kilugha na Mtakatifu nilidhani ni wa kule, au Lugha zinaingiliana? [emoji848]
Hahaa jamani kwani Moshi kuna mataa mangapi? Mbona unataka kuanza kutusimanga tena? [emoji2][emoji2]Kwahiyo ndo nshaona mataa yenu tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
Heri nikufe masikini [emoji1][emoji1]Utapishana na utajiri hivi hivi [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team December tuna matashititi na heka heka lol.Ndio maana mnafanana ukorofi[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuh hiyo mimacho vipi?Kumbe kijana wa watu yuko safi kwa matumizi ya binadamu na anashawishi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji3064][emoji15]
Yaan kumbe hata hatishi kivilee, ni gwanda na hayo mafuta meusi aliyopaka usoni. Ndo tabu enyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah huyu kama safi saaana
Nishatoka huko kitambo!Naaam. Tukija bukoba lazima tuje kukusalimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila tuache uongo mkaka wa watu mzuri na anavutia, wala hatishi, sema hayo madude alopaka usoni na hizo gwanda ndo zinaogopesha.Kama ya kinyonga[emoji2]