cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,303
- 187,955
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeumbuka mwenzio yaan, c nimeweka dp ktk pro ya tsup, na telegram, na nkaweka status, asa sijaficha hilo jina, nashangaa watu wawili wa class letu wanauliza kwan cocastic wa JF ndo wee? Nilinywea nipo mdogo km priton, yaan nmekataa sana.We mtoto umeweka avatar mwandiko huo niliouparaza kama bata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nkafuta haraka mno, maan najua ndugu zang weng wako huku JF, nashukuru wameona wachache,