Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Mbona bado kidogo tu zifike, zina muda gani hizo?Lol sijui zangu zitafika lini ubebarikiwa unywele mamy hongeraView attachment 2048619
Na vile una nywele nzuri sasa
Mbona bado kidogo tu zifike, zina muda gani hizo?Lol sijui zangu zitafika lini ubebarikiwa unywele mamy hongeraView attachment 2048619
Nasubiri ugeuke kwanzaWe mtakatifu wewe, mi nshatupia. Zamu yako sasa
Two years afu sijaweka dawa!Mbona bado kidogo tu zifike, zina muda gani hizo?
Na vile una nywele nzuri sasa
Loh mpaka nahisi njaa sasaNasubiri ugeuke kwanza
Nywele nzuri saana. NaturalLol sijui zangu zitafika lini ubebarikiwa unywele mamy hongeraView attachment 2048619
Geuka tu mara mojaLoh mpaka nahisi njaa sasa
Umebarikiwa kwakweli, zimejaa vizuri na nyeusi vizuriTwo years afu sijaweka dawa!

Na ole wako usiwekeGeuka tu mara moja
Ukiweka nawekaNa ole wako usiweke
✌️✌️✌️😜😜Nywele nzuri saana. Natural
Amen! Mungu azidi kukupiganiaEwaaaaaaaaah mlongo pena ndi ujovi chabwina chene, nikumshukuru nnungu kwa kunivika hadi lelu naha,


Kumbe tumepishana 1 day na huyu, na Uwoya.Happy birthday Shangazi Maria Sarungi, kiukweli umekua mwanamke wa mfano sana katika uwanja wa Kupigania haki, historia itakukumbuka.View attachment 2048652



Absolutely gorgeous nkamu.
Afu na hii miguu mirefu ni asili yetu au? Maana![]()


