Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Ila jamani Jack ni pasua kichwa yule inahitaji uwe na moyo wa chuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo ndoano yake mpya imegonga mwamba.
Ila jamani Jack ni pasua kichwa yule inahitaji uwe na moyo wa chuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo ndoano yake mpya imegonga mwamba.
Wee tucheke endelea kula hayo madude ila mafuta yakikujaa yakaziba mishipa ya kiuno na kule somewhere ukaanza kupiga Za mchangani utakoma.Ndio nimesikia kwamba mnasonga ugali mdogo kwanza mkila ndio mnapata nguvu ya kusonga ugali mkubwa mle mshibe 🤣🤣
Mimi nilikuwa na moyo wa chuma bqadaye akauyeyusha.Ila jamani Jack ni pasua kichwa yule inahitaji uwe na moyo wa chuma[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji173][emoji120]Awww [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji8][emoji8] tanteeeeh moaaah
Nimesave naweka avatar ktk pro angu. [emoji177][emoji177][emoji177]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji173][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]roho ya kutanga tanga inamsumbua huyo. Mpige maombiMimi nilikuwa na moyo wa chuma bqadaye akauyeyusha.
Nishampiga[emoji23][emoji23][emoji23]roho ya kutanga tanga inamsumbua huyo. Mpige maombi
Umenifanyisha mazoezi.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
Naona wote watatu mmeamua kunisema[emoji3]Nishampiga
Nimemgandishia kwako.
Nakusagia kunguni.Naona wote watatu mmeamua kunisema[emoji3]
Doh nahitaji maombi kwakweli[emoji58][emoji23][emoji23][emoji23]roho ya kutanga tanga inamsumbua huyo. Mpige maombi
Ina maana NaddySL nae kanitosa?mwaka bora uishe tuNakusagia kunguni.
Sure mkuu.Wee tucheke endelea kula hayo madude ila mafuta yakikujaa yakaziba mishipa ya kiuno na kule somewhere ukaanza kupiga Za mchangani utakoma.
Fact.
Hayo mafuta ndio kaburi lenu watu wa dar..ndio yanafanya mbugie kila mzizi mtakaoambiwa
Kwa huyo nimekusagia kunguni hadi basiIna maana NaddySL nae kanitosa?mwaka bora uishe tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unazingua dogo[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie nachukia aamkiwe dogo, afu mie siamkiwi daaah.
Daaaah[emoji849]Kwa huyo nimekusagia kunguni hadi basi
Shemeji kama shemeji[emoji41]
Karibu sana ugali kachumbari.Shemeji kama shemeji[emoji41]
Kitu siwezi kula ni kachumbari Na ugali,sijui na kabichi loooh vilinishindagaKaribu sana ugali kachumbari.
We ni mzee wa biriani nakufahamu.Kitu siwezi kula ni kachumbari Na ugali,sijui na kabichi loooh vilinishindaga