Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe ndiyo wa kuni-snitch? Dawa yako ipo jikoni[emoji20][emoji20]

 
Kusema kweli bageshi ongeza msosi kidogo. Si kwa wembamba huu japo inasemekana nyie wembamba wa hivi mnapendwa sana na mabinti na hasa ma Yutong....[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha...Bhageshi kama kula huwa nakula sana kwa kweli ila mwili kuongezeka huwa naongezeka kidogo mno

Au nikioa naweza kunenepa[emoji3]

Kwema lakini bhageshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…