Dar Lux nilipanda mara moja tu nikasema sirudii tena. Siku niliyopanda na kufika Dar saa sita za usiku nikasema mwanzo na mwisho.
Rungwe nao nilipanda siku moja tukafika Mbeya saa nne na mji kama Mbeya saa nne tayari maduka mengi yamefungwa watu wamelala. Nikasema sirudii tena.