ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,014
- 40,175
Eeeh Mungu wangu nimechekaAniloge 😀😀😀😀😀
Umepagawa wewe kumbe khaaa kama mambo yenyewe mshana nae yupo mi staki
Hivi Dad kwa mtindo huo nitapata mume kweli 😁 Mshana Jr
Acha ulozi niolewe😭
Eeeh Mungu wangu nimechekaAniloge 😀😀😀😀😀
Umepagawa wewe kumbe khaaa kama mambo yenyewe mshana nae yupo mi staki
SaanaaTupige nyanga sana daughter😂
Anza wewenimekujaa hebu pita nikuone mahiii
Nini tena hiki
Shem mimi vidole vyako tu aisee🥱Mdogo wangu Mcute.
Aaah kabisa. Its Weekend.
Tunakesha Kumsubiria Yesu afufuke.
Alaf Leo Kidogo nagusa Konki .
karibu
Seran shem wangu kabisa, I miss You.
Alaf We mzee uko wap? min -meView attachment 3567527
Mimi hiko kimwili Mpaka ntakipata tu😍nipo napaka manjano hebu chungulia haraka niko uchi🤭😁😁😁
Enjoy DadLunch😋😋😋
Halafu mimi unaniachaje😁😁Mimi hiko kimwili Mpaka ntakipata tu😍
Leo nimeona ubavu wanguMimi hiko kimwili Mpaka ntakipata tu😍
jamn kumbe ulikuepo🤭😆😆😆,,, ndo uje tunywe bamia sweet👌💃😋Mimi hiko kimwili Mpaka ntakipata tu😍