Selfika na JF: Snap it. Show it

Nguzo Camp unakufahamu mkuu? Pazuri sana pale kupumzikia....
Pametulia sana pale mahali mkuu, napafahamu kupitia kwa mama mchungaji
Kuna wakati nilikua na kazi ya kama wiki hivi Morogoro nikaingia jf kucheck mahali pazuri Moro nikakjtana na maelezo mazuuri ya Nguzo camp kutoka kwa Heaven Sent
Hakika sikujuta
 
Hata mimi huwa naitumia kujibu pm tu.

Upande wa pm app iko vibaya mno ,akina melo sijui ndio hawaioni

Inaquote message katika mpangilio mbaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…