Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Kuangalia nao ni uzinzi mkuu?Acha uzinzi kijana
Kuangalia nao ni uzinzi mkuu?Acha uzinzi kijana
Marahabaaa.. wewe tena hiyo umepataShkamoo bro
Sisi ni ndugu,naomba elfu 50.
Umetamani tayari au hujui kutamani ni dhambiKuangalia nao ni uzinzi mkuu?
Kale bosi wange Njagala tekako echifanani ku selfikanga ntekeko???Jebaleeeeeeee......
Wewe ndio ua langu pendwa kabisa haya mengine nikuangalia nakuacha tu

I trust you bebeMkuu, hii naviwanja vyangu hapa hapa tanzania.. nikifikaga wananiona kama pedeshee flani hivi.. ndio naendaga na mie kuvimbaaa.. 😊😊😊Hii mkuu inatosha kabisa kwenda kuenjoy Maldives![]()
Kijana wako wa hovyo hovyo hajambo.. anakula kondoo tu hapa..Dah!!salio linatosha kabisa mkuu
Kwema lakini kijana
Sio mchezoAiseee nina kiu daaahView attachment 2046305
Sawasawa bongo ukiwa vzr ni kama Ulaya tuMkuu, hii naviwanja vyangu hapa hapa tanzania.. nikifikaga wananiona kama pedeshee flani hivi.. ndio naendaga na mie kuvimbaaa..![]()
=
Bado sijaipata.Marahabaaa.. wewe tena hiyo umepata

Babe upo na nani hapo?
Nilisimama hapo darajani hadi nikachoka.leo ndo nimerudi duniani ndugu yangu naamini keki itakuwa imeisha
Just aloneBabe upo na nani hapo?
Naomba unikaribishe tuishi wote NkamuMimi napenda nijifanyie mwenyewe siyo nimfanyie mtu na mimi wala sitaki mtu anifanyie, yaani kwangu mimi hata kutafuta housegirl itakuwa ni last option. Labda ifikie hatua niwe busy kiasi cha kukosa hata muda wa kulala vizuri, ndiyo nitatafuta housegirl ila otherwise napenda niishi peke yangu.
Timiza ahadi sasa babeJust alone
Ok babeTimiza ahadi sasa babe
Ushaikosa.dah ndo nishakosa
😅we nifunge tu Mota,haya nitakuja ku selfika usikuKuwa Mtoto siyo kwenda clinic Dogo...karibu Mdogo wangu..hebu selfika kwanza nikuone
Sent using Jamii Forums mobile app