T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,074
Mgonjwa hali yako ishakaa sawa eti eeeh?View attachment 2045990
Tunaongeza Unyunyu
Nikaribishe best…
Guu la kulipaka nuttella!



Mimi napenda nijifanyie mwenyewe siyo nimfanyie mtu na mimi wala sitaki mtu anifanyie, yaani kwangu mimi hata kutafuta housegirl itakuwa ni last option. Labda ifikie hatua niwe busy kiasi cha kukosa hata muda wa kulala vizuri, ndiyo nitatafuta housegirl ila otherwise napenda niishi peke yangu.Mimi nafanya zote tena bila hata msaada
Ila endapo nimefanya hivi labda ulitaka nifanye vile,,ukinifokea tu naacha zote.
Niliwahi zungushana na sister wangu yule ulikuja nyumbani,akiwa mjamzito yule hukai naye hata kwa hela.
Mgonjwa hali yako ishakaa sawa eti eeeh?



kwa ninavyozurula nimeponaOoh!!Kumbekwa ninavyozurula nimepona
Watoto utaenda nao kazini?Mimi napenda nijifanyie mwenyewe siyo nimfanyie mtu na mimi wala sitaki mtu anifanyie, yaani kwangu mimi hata kutafuta housegirl itakuwa ni last option. Labda ifikie hatua niwe busy kiasi cha kukosa hata muda wa kulala vizuri, ndiyo nitatafuta housegirl ila otherwise napenda niishi peke yangu.
Kibao kimehamia kwangukwa ninavyozurula nimepona
Mshindi amepatikana?nataka kuadd bonus kwa mshindiLeo natoa ofa ya lunch kwa me na ke watakao tupia selfie kali ,ofa itakua breakpoint.255 lounge. Au tanzanite park. Wana selfika kazi kwenu

Rangi iko on point, Umetisha sana fundi😂Fundi rangiView attachment 2046058
We add tu baby. Bado hajapatikanaMshindi amepatikana?nataka kuadd bonus kwa mshindi![]()
Aisee nutella ama magadi😂Guu la kulipaka nuttella!![]()
Hakuna boss apaMshindi amepatikana?nataka kuadd bonus kwa mshindi![]()
Fundi rangiView attachment 2046058