Kuna mbinu Fulani za kumkamata mkuu, nyoka yoyote (almost) Kuna jinsi ukimlia tyming unamkamata kama bwege tu. Check huyu green mamba ambaye ni highly venomous snake.
Aliselfika ila picha imekaa kwa sekunde hata 4 hazikupita. Najaribu kudaunilodi holaa picha ishafutwa. Ila niseme tu mtumishi yuko vizuri sana. Sijui kwa nini sikupiga screenshot nikawa nakazana kudaunilodi dah najilaumu hatari!
Kuna mbinu Fulani za kumkamata mkuu, nyoka yoyote (almost) Kuna jinsi ukimlia tyming unamkamata kama bwege tu. Check huyu green mamba ambaye ni highly venomous snake. View attachment 2045433View attachment 2045434
Makomandooo nyie si mmefundishwa survival skills za kila aina. Sasa mimi nimkamate nyoka nimpeleke wapi? Ila nikifika China siku moja lazima nionje nyama yake nione ikoje...