Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Sheikh wangu umetag visu vitupu naona haahahah
Sheikh wangu umetag visu vitupu naona haahahah
Una makusudi ujue niko naswampa Nina njaa balaa!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Usinisahau as usual! Naona chapati lainiii
Siku hizi nimezeeka[emoji38]Ewaaaaah!!
Hivi Mshana siku hizi hamna yale mashindano. Au nyie wadhamini mmefulia?
Nataka nishindane mimi , Saint Anne na Depal .
Wewe dogo unapenda picha balaaaa hahahaahahahahaSafi😍
Wiii[emoji7]
Hivi sjaelewa niliona kama umeniddai picha🤣🤣🤣🤣
😂Karibuuu, hapana chezea!Una makusudi ujue niko naswampa Nina njaa balaa!!😋😋😋😋 Usinisahau as usual! Naona chapati lainiii
Nakudai naile kitu nilokuletea fanya wepesi basi!
🤣🤣🤣🤣🤣 Nawewe tag rafiki!!🤣🤣🤣Sheikh wangu umetag visu vitupu naona haahahah
Duh! Nitakutag ijayo!!Sheikh wangu umetag visu vitupu naona haahahah
Sijaiona yako muda mrefu sasa hadi naanza kukusahau kaka yangu habdsome pande la mtu[emoji6]Wewe dogo unapenda picha balaaaa hahahaahahahaha
Asante , Wii ndio nikufundishe za kusukuma sasa!Wiii[emoji7]
Uko vizuri.
Yaniii! Umejua kulinyanyasa tumbo langu kisaikolojia 🤣🤣🤣😁 hakii!😂Karibuuu, hapana chezea!
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani yanakupitaje sasa kwa mfano na wakati ndiyo mambo yako. [emoji23][emoji23][emoji23]
Uniombee sana tena.Kwahiyo best unamaanisha kwamba wewe unahangaika hangaika?
Eagerly waiting 😁!Ndiwoooo ndiwoooooooooo
Za kusukuma nazijua mno wiii.,,hapa kakayako amempata mwenyewe.Asante , Wii ndio nikufundishe za kusukuma sasa!
Aiseeee honestly hiyo chapati ukiiona unajua hii iko sawa
SawaHapana mimi nataka nishindanishwe na nyie wazee wenzangu. Hao mabinti watanitoa mchezoni mapema sana.