Selfika na JF: Snap it. Show it

Bora tigo airtel mmewahama nimebaki kupokea simu tu!nimejiunga na msg za mwezi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilugha chetu hicho, maana yake tumbo kubwa lililopitiliza,
Hapo sasa hebu katazame PM kule, nasubir hivyooh
Yani nimejaribu kujiangalia kwenye kioo zaidi ya mara 2 sijaona kitambi na zaidi namudu kuvaa soksi za miguu nikiwa nimesimama mguu mmoja😜😜

Nimetoka ofisi ya Waziri Mkuu sijakuta Ujumbe wowote, nimempigia simu Kalani wangu amesema hajapata barua yeyote leo wala Jana, Fanya kuutuma tena πŸ˜€
 
Mimi natumia airtel na hakuna shida yoyote ya mtandao.


Airtel baba lao[emoji91]

Voda nimewaachia matajiri.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2044360
Ila Jamaa amezifaidi kweliπŸ™ˆ

Walichoniboa baadaye wakaleta Sheria zao kupitia Mosses kuwa hutakiwi Kuzini wakati Yeye tayari alishazichakata zaidi 1,000 wakati huo mimi hata watatu sijafika πŸ™†πŸ€ΈπŸ€Έ

Baada ya Mosses kusema Tusizini akaja mwingine aliyepigilia msumali kwa kusema Yeyote amtazamiye Mwanamke kwa kumtamani Atakuwa Ameshazini naye πŸ™†πŸ™†. Kwa mstari huo Pekee, hapa JF hakuna atakayepona πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…