Selfika na JF: Snap it. Show it

Surgery ina indications zake ,kama unazo unafanyiwa tu na nyingi huwa ni kutibu complications za AR na allergy hubakia pale pale
Ni bora allergy ibaki palepale ila surgery inipumzishe kidogo na haya mateso.
Hii hali inanitesa mno...nikipumzika miaka kadhaa siyo mbaya.
Nikienda ENT huwa nawavunja mbavu madaktari wangu vile ninavyoishikilia ile surgery.
Kwanza nagombana nao kila siku,naenda pale nanukia kama jini nishajikatia tamaa.
 
Jaribu kusupliment matibabu yako na nasal douching.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…