Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha....Hakuna kitu kinauma kama kujua unataka kugongewa mke/mpenzi
Yah ni kweli kbs.Ukijua jamaa ananigongea mpenzi/mke unajikuta unachukia kila kitu cha huyo mtu😅.Kama anatembelea IST Kwa mfano,unajikuta unachukia IST zote ukikutana nazo barabarani,unaweza kujikuta unachukia Hadi kuku wa huyo jamaa🤣

Kugongewa kunauma sana.Ila Kwa huyo Depal kuwa huru mkuu
 
Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo?

Wanyaki yamo kwa kweli[emoji3]
Wanawake wa Kisukuma wazubaifu. Ndo maana wanaume wengi wa Kisukuma tumeishia kuoa Wachaga na Wanyaki!

We mwenyewe hapo najua utaoa Mchaga au Mnyaki [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom