Ila hebu tuweni wakweli kuna wenzetu hapa ni ngumu kutupia kabisa.. Yani hata kidole chao wanaona shida.. Hebu basi leo kila mtu atupie picha yake ya kiungo chochote kasoro cha siri
Yaani nikikuta kuna mabishano; halafu na wewe ukawemo; aisee ni mtakesha. The same akiwepo Anne au Karma; bila kujisahau na mimi mwenyewe. Kwa kweli tupo vizuri ndugu zangu mweeh