Selfika na JF: Snap it. Show it

Hazard wa madrid kapungua sana...anapigishwa zoezi la hatarii
Hili jina la hazard ndio zuri lile lingine bayaa.
Halafu hazard ana kawowowo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu si uliacha pombe wewe? Nakuzoom tuu unavopost pombe.
Pombe nimeacha siku hizi nakunywa bia tu mamiii[emoji23][emoji23]
 
Tukiwatag wana uchumi hapa watasikitika sana
Hayakuwa makubaliano. Makubaliano yalikuwa ni kunywa juice na soda.
Tbl
Sbl

Nakumbuka ndio wanaongoza kwa mapato recently.....

Top 50 hata sayona hawapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…