Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,284
- 104,276
Jua la elnino linawaka sio poa nimebandika maharage huko nje yaive maana sio kwa kunipa hizi rangi mbili aisee!😅Maisha yamenipiga lamama na Jua limechachamaa basi tabu tupu
Jua la elnino linawaka sio poa nimebandika maharage huko nje yaive maana sio kwa kunipa hizi rangi mbili aisee!😅Maisha yamenipiga lamama na Jua limechachamaa basi tabu tupu
Aisee mzee Nyani una toto mzuri sana.
Kwani nimeona sasa lol!! Saivi nipo sipepesi hata kopeJua la elnino linawaka sio poa nimebandika maharage huko nje yaive maana sio kwa kunipa hizi rangi mbili aisee!😅
Hahaaa shukran 🙏Aisee mzee Nyani una toto mzuri sana.
Nitafutie binti wa kimarekani mkuu, nami niache kuteseka.Hahaaa shukran 🙏
🤣🤣🤣utaweza kuhudumia dogoNitafutie binti wa kimarekani mkuu, nami niache kuteseka.
Kwa ni liko fikia, huduma ninatoa bila shuruti🤣🤣🤣utaweza kuhudumia dogo
Ulienda wapi mwanamke nangai😁Kwani nimeona sasa lol!! Saivi nipo sipepesi hata kope
Aya nibless picha hapa😍😹nimekumiss ujue😹😹Kwa ni liko fikia, huduma ninatoa bila shuruti
My migebuka boss, umeshafika uzunguni mara hii?
Aisee we unajua fika kabisa hii mitaa nilishafukuzwa nikipita sinitakuwa naji dharirisha tu mdogo Wangu?Aya nibless picha hapa😍😹nimekumiss ujue😹😹
😹😹😹we pita aibu tutaona tuliokufukuzaAisee we unajua fika kabisa hii mitaa nilishafukuzwa nikipita sinitakuwa naji dharirisha tu mdogo Wangu?