Na kuna wanaoweza kuondoa hizo emoji zinazoziba uso.
Kweli?
Na kuna wanaoweza kuondoa hizo emoji zinazoziba uso.
Amekukosea sanahuyo huyo mkuu.... alafu jamaa sina ubaya naye wala nini
alafu mbaya zaidi inaonekana najuana naye personaly tena tupo in gud terms sasa sijui kwann kaamua kunifanyia vile
kweli mbaya wako hatoki mbali![]()
sanaaaaaa sema nimemuachia mungu.... ila najua anapita na kusoma haya na kujuta kwa alichofanyaAmekukosea sana


huko ndio tunapomalizia miili yetu mamaeeee nani anataka kutolewa kucha huku anajiona
mimi utanikuta chit chat na kwenye ngono tu.....
![]()
Kweli?
😂😂😂😂😂huko ndio tunapomalizia miili yetu mamaeeee nani anataka kutolewa kucha huku anajiona
Hapo kwenye Nywele sasa!!!Nimemmsis Mchaga wangu jamani yeleuwiihNilinyeshewa acha tuu.
Hizi jumuia hizi.
Ngoja nioshe nywele kwanza baba P.


Nipo active sahivi, nimeonaaHaina haja mkuu
Ila ataiona
Nipo active sahivi, nimeonaa
Zako na nani?Mbona hujibu pm zetu
ungejua sheik ata usingetumia nguvu kubwa ivyoana miguu kama miwa ya nyongeza
mungu akusamehe tu ata shetani akusamehe piaNi mmoja wa mafurushi ya JF
Kwani mimi nimesemaje Mufti??ungejua sheik ata usingetumia nguvu kubwa ivyo