Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba mtumishi una mwandiko mzuri[emoji7]
Nimeupenda..umekaa kiume.
Unavutia kama jinsi wewe unavyonivutia[emoji6]

Hivi na mimi najua kuandika kweli?[emoji23][emoji23]View attachment 2043086
Umekaa kiume. Ndo kusema mwandiko wangu umevaa suruali? 🤣🤣

Itoshe tu kusema huu wa kwako haujakaa kike tu, umekaa kama wa mwanamwali mzuri
 
Umekaa kiume. Ndo kusema mwandiko wangu umevaa suruali? [emoji1787][emoji1787]

Itoshe tu kusema huu wa kwako haujakaa kike tu, umekaa kama wa mwanamwali mzuri
Nauona upo kigentleman kama mwenyewe mwenye mwandiko baba mtumishi[emoji6]

Hahaha! Huu wangu naucharaza kama bata umeupenda??
Nitakuandikia ujumbe kila siku baba[emoji847]
 
Reactions: Pep
Kwa msaada wa filter[emoji23]

Nina tege la haja baba mtumishi[emoji1787]
Ni kitu gani kile kitokacho jangwani kama mnara wa moshi

Kinukiacho manemane na ubani

Manukato yauzwayo na wafanyabiashara?

Tazama! ni miguu mizuri ya mama mtumishi
 
Ni kitu gani kile kitokacho jangwani kama mnara wa moshi

Kinukiacho manemane na ubani

Manukato yauzwayo na wafanyabiashara?

Tazama! ni miguu mizuri ya mama mtumishi
Baba mtumishi hapa umenipiga kamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwachane na hizi habari.

Mama mtumishi anasubiri uitoe ile michoro kwenye picha nafsi yake iridhike na alale akiwa na furaha tele baba.
 
Reactions: Pep
Nauona upo kigentleman kama mwenyewe mwenye mwandiko baba mtumishi[emoji6]

Hahaha! Huu wangu naucharaza kama bata umeupenda??
Nitakuandikia ujumbe kila siku baba[emoji847]
Maneno yako yamefurahisha moyo wangu, ee mama mtumishi,

Mwandiko wako ni mtamu ajabu,

Ni mtamu kuliko divai.
 
Baba mtumishi hapa umenipiga kamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwachane na hizi habari.

Mama mtumishi anasubiri uitoe ile michoro kwenye picha nafsi yake iridhike na alale akiwa na furaha tele baba.
Amen amen nakuambia.

Maneno yangu hayana uongo hata chembe 🤣🤣

Mataga watani decode mama mtumishi
 
Maneno yako yamefurahisha moyo wangu, ee mama mtumishi,

Mwandiko wako ni mtamu ajabu,

Ni mtamu kuliko divai.
Kweli??
Ngoja kesho nijaribu kunywa divai ili nifanye ulinganifu wa utamu.

Unaniruhusu baba??
 
Reactions: Pep
Amen amen nakuambia.

Maneno yangu hayana uongo hata chembe [emoji1787][emoji1787]

Mataga watani decode mama mtumishi
Hebu nionee huruma japo kidogo baba mtumishi.

Tangu asubuhi nipo hapa nakuomba picha[emoji17]
 
Reactions: Pep
Hili hatukukubaliana mama mtumishi.
Una habari nimeandaliwa bia mpya??
Baada ya juhudi za mwanzo kugonga mwamba sasa wamekuja na kitu kipya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niruhusu baba siku moja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…