Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Ostaadh ukae mbali tu na wajukuu zangu...
Ostaadh ukae mbali tu na wajukuu zangu...
Mkuu nikifikiri bado upo Uyole. Usharudi jijini?dar es salaam Usiku.....[emoji846][emoji846][emoji846]View attachment 2043279
Unapotea sana Selfika...Mkuu nikifikiri bado upo Uyole. Usharudi jijini?
Unasababisha wajukuu zako wanapiga teke bakora ya dhahabu! Shauri zao!!Ostaadh ukae mbali tu na wajukuu zangu...
Juzi December 12 ilikuwa birthday yangu bana. Nilikuwa bado nalishwa keki.Unapotea sana Selfika...
Ndo kimya kimya hivo jamani!!!Juzi December 12 ilikuwa birthday yangu bana. Nilikuwa bado nalishwa keki.
Nimekuta picha zote ulizoselfika umefuta. Roho inauma hatari!
Asante besti. Nitapita nyumbani kwako leo au kesho [emoji16][emoji16][emoji16]Ndo kimya kimya hivo jamani!!!
Late birthday wish!!![]()
Hakuna jipya hapa duniani mpendwa; na mambo yote ukiyatazama katika ujumla wake ni ubatili tu. It has been 3 yrs lakini utafikiri ni juzi tu yaaniOh so sorry rafiki I hope everything went well mlimpumzisha salama sweetmamaa!
May her soul rest in eternal peace [emoji120]
My deepest condolences rafiki pole sana!
![]()
Mmmmmmmmmh
mitamu sana hio Sasa hapo ungeongezea kachumbari iliyokolea ka limao na pilipili mbuzi!! Aishhhhhhh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibu MIHOGO ya kienyeji View attachment 2043455
Duh hang'ati?
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Mmmmmmmmmh