🤣🤣🤣🤣 .... Its ok usiwaze!! Sasa hilo limekaa tenge kidogo kulingana na historia yangu humu! It's ok its ok yameisha relax!Hapana nilisema haihusiani na member yeyote wa jf,
umesahau shuleni zile sentence Juma is going to school mbona tumesoma na akina Juma wengi tu, ni mfano mkuu sio wewe.
au umenuna, basi nisamehe bure.
Hajui huyu[emoji21][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujui mapenzi uvumilivu?
My ex naomba unitajie kwa majina hiyo michepuko[emoji29]Michepuko ilikuwa mingi nikaona tutakuwa wengi.
Hebu sema ingekuaje[emoji4][emoji11]Ungekua karibu hapa ingekua balaa
Pole dearTatizo sio kunikasirisha tatizo ni kwamba kila mmoja ashamove on na maisha yake... Ana mtu mwingine nami nina mwanaume mwingine just imagine nipo kazini nimeletewa hio picha nijibu mashtaka! Leo badala ya kuja kuchukuliwa kupelekwa kula lunch nimeletewa hio picha nijibu tuhuma. Nimepanic na mchana nimekosa hamu ya kula tena!
Romance huku mambo mengine yanaendelea[emoji847]Hebu sema ingekuaje[emoji4][emoji11]
KwendaHajui huyu[emoji21]
Keki yako nakuletea leo
Yess a GPMG! Chombo ya mwituni!PK Machine Gun [emoji854][emoji854]
Hakika sifa na utukufu ni kwa Bwana wa Majeshi.Who can stand against the Lord?
No one can,
No one will.
Ohooooo
Ooohhh
Victory belongs to Jesus,Victory belongs to HimView attachment 2042801
Halafu nikishakutajia what next?My ex naomba unitajie kwa majina hiyo michepuko[emoji29]
Ohoo!! Chief kulikoni? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]View attachment 2041506
Weekend njema..
AminaHakika sifa na utukufu ni kwa Bwana wa Majeshi.
Asante dear yashaisha!Pole dear
Pole yaani.Tatizo sio kunikasirisha tatizo ni kwamba kila mmoja ashamove on na maisha yake... Ana mtu mwingine nami nina mwanaume mwingine just imagine nipo kazini nimeletewa hio picha nijibu mashtaka! Leo badala ya kuja kuchukuliwa kupelekwa kula lunch nimeletewa hio picha nijibu tuhuma. Nimepanic na mchana nimekosa hamu ya kula tena!
Asante yashaisha lakini!Pole yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c unamfundisha jaman au?My ex aliona nina mambo mengi. Halafu hatumii hayo mambo yangu